Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Cheza mchezo wa mezani, sawa na pool table ukishandana na mwenzao au mshindani wako akiwa mchezaji wa mfumo wa kompyuta
Ni programu inayokuwezesha kuondoa hitilafu yoyote kwenye mchezo wako wa video na hivyo kuboresha muonekano wake
Mchezo wa video unaochezwa kwa kompyuta za Windows ambao humwezesha mchezaji kupitia hatua mbalimbali ambazo ugumu huongezeka kutoka hatua moja hadi nyingine
Wachezaji kutoka sehemu mbalimbali duniani wanaojiunganisha na kutafuta wapinzani
Mchezo wa mbio za magari unaohusisha picha kadhaa za kuvutia na kumpa mchezo fursa ya kuchagua magari ya muundo mbalimbali na kuyajaribu tayari kwa mashindano
Xpadder ni mfumo unaokuwezesha kubadilisha vitufe kwenye kichezesha michezo chochote na kuongeza utangamano
Michezo inayopakulika inayokuruhusu kushiriki katika mechi kama bingwa unayempenda katika Window 10
Mchezo wa timu unaojikita katika mbinu za kibaharia ukiwa na mbinu na mitindo yenye uhalisia
Mchezo wa vita wa wachezaji wengi ya mapigano ya vifaru dhidi ya wenyewe ndani ya mpangilio wa ulaya
Mlengaji wa tatu anayekuruhusu kufanya kazi na marafiki zako kuwaondoa viumbe wa ajabu
Mlengaji wa kwanza wa mtandaoni aliye huru kucheza na ana mandhari ya ushindani unaokua
Mchezo huu wa video unamwezesha mchezaji kuongoza aina mbalimbali za ndege za kivita kwenye viwanja vya mapambano duniani kote
VisualBoy Advance ni kiigizi kinachokuruhusu kucheza michezo ya GameBoy Advance kwenye pc yako
Programu ya utambuzi na usimamizi wa mfumo wa profaili na matumizi ya data
Programu inayokuwezesha kuchati, kupiga simu au kuwasiliana kwa video ambayo ilianza kutumika kwenye simu na sasa inapatumika hadi kwenye kompyuta
Programu inayorudisha mazungumzo yako ya zamani kutoka WhatsApp,ikijumuisha picha,video na sauti
Changanya miziki ya aina mbalimbali kwa urahisi kabisa kwa kutumia kompyuta yako na kuwaburudisha watu wote
Programu inayokuwezesha kujitengenezea miito ya simu na kushea kwa wengine
Badilisha video zilozochukuliwa kwa sim kwenda kwenye mfumo utakaoweza kutumika kwenye kompyuta
Programu ya bure inayokuwezesha kubadili kwa kasi video kwenda kwenye muundo wa SWF na mafaili ya SWF kuyageuza kuwa video
Ni programu maarufu na ya kipekee kwa uchezaji wa taarifa (picha au sauti) katika muundo wa DVD-3D
Programu ya bure ya kuchat inayoweza kutumika kwenye kompyuta au simu za mikononi
Mfumo wa bure wa mawasiliano unaowezesha hadi GB1.5 za ushirikishwaji wa mafaili na uwezo wa kundi la kuteta
Ni programu ya kuhariri video iliyoundwa maalumu kwa watalaamu wa kuhariri video kuwawezesha kutengeneza video zenye ubora wa hali ya juu
Programu ya kuhariri picha na ambayo ni ya bure inayokuwezesha kufanya uhariri wa aina mbalimbali ili kuifanya picha yako kuwa bora
Ni programu rahisi na ya bure inayoifanya keyboard yako kutumika kama kinanda
Saa unaweza kuhariri video zako zote kama mtaalamu kutoka kwenye kompyuta yako
Hapa mtumiaji anaweza kutengeneza muziki unaokidhi mahitaji yake kwa kutumia deki mbili za programu hii ya DJ ambayo ni rahisi kuitumia
Tumia programu hii kuhakikisha muunganiko wa Wi-Fi ni salama bila hatari na unatumika kwa uwiano mzuri
Program nyepesi ya kupiga kinanda cha mtandaoni vilevile inawezesha kutengeneza na kupiga ala za matukio
Hii programu ndogo inayokuwezesha kurudisha nywila yako ya Wi-fi haraka na kwa urahisi
Mchezo wa tatu ni mtamu,njia ya kuburudisha kupata michezo ya casino kwenye kifaa chako
Nyenzo inayowezesha kupangilia muda katika uzimaji wa kompyuta na kukupatia mipangilio ya muda tofauti tofauti ya kukidhi mahitaji yako
Kibodi ya kuandikia lugha ya Bangla katika vifaa vya Window,Linux na Ubuntu
customise desktop na picha 27 za magari ya kisasa,sauti za injini na picha za lamborghini