Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Leseni ya programu: Bila malipo
Mfumo huu unakuwezesha kutuma video na ujume wa maneno
Tumia huduma hii kushirikisha, ainisha na panga picha zako pendwa na malengo yako katika kioo cha kompyuta yako
Pale unapotaka kuongeza athari za picha zinazofurahisha,hii programu ina ngozi nyingi
Ni programu ya bei nafuu inayokuwezesha kupiga simu kimataifa kwenye kompyuta yko
Nyenzo bora ya mawasiliano kwa nia ya video, sauti na ujumbe wa haraka baina ya watu wanaowasilianan
Programu inayomwezesha mtumiaji kuchat au kupiga simu ya video moja kwa moja kwa kutumia kompyuta
Uwawezesha watumiaji kusimamia mafaili na mafolda kwenye vifaa vyao vya mkononi
Programu unayokuruhusu kuchukua picha na kurekodi video kwa kutumia kamera ya wavuti
Ni programu ya window vista inayoruhusu akaunti nyingi za skype ziunganishwe kwa wakati huo huo
Kua kwenye mawasiliano na marafiki pamoja na familia kwa wavuti
Ni programu bora na kongwe kweli kweli inayokuwezesha kutuma meseji au kuchati moja kwa moja na marafiki
Programu ya mawasiliano kwa njia ya ujumbe unayoweza kuitumia kwenye kompyuta yako bila kufungua Facebook
Mfumo maalumu wa Mediafire unaokuwezesha kupakia mafaili katika mtandao wao
Programu maalumu kwa watumiaji wa Windows 7 ambayo hutoa muonekano wa aina mbalimbali wa video zinazotokana na kamera za mtandaoni
Zungumza kwa njia fupi za maandishi, piga simu na Fanya mkutano wa video na mtu yeyote duniani bure kwa kutumia mifumo ya windows 10
Ni programu ya mawasiliano isiyo na malipo inayokuwezesha kuchati, kutuma ujumbe kwa marafiki na hata kupiga simu bila malipo
Inawezesha watumiaji kufatilia nyumba zao au biashara kwa kutumia kamera za mbali kutoka kwenye anwani zao zinazotambulika
Mtandao na jukwaa maarufu duniani ambapo watumiaji hupiga picha, kuzichuja ili kuzifanya kuwa za kuvutia zaidi na kisha kuzishea kwa marafiki
Mfumo wa kuchati wenye mfumo imara kukuwezesha kutengeneza avata zinazokidhi mahitaji yako
Mfumo wa utetaji unaojumuisha maneno, sauti na video za mazungumzo vyote ndani ya programu moja
2