Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Leseni ya programu: Bila malipo
Mchezo maarufu wa mbio za magari mitaani ambao ni toleo la mwaka 2007
Leseni ya programu: Bila malipo (matangazo)
Peleka uwezo wako wa michezo ya kukimbia kwenye ngazi za juuna programu hii inayovutia na kusisimua
Trela fupi ya filamu kutoka kwenye "Need for Speed:Most Wanted"mchezo wa vyombo vya mashindano
Linda afya na ustawi wa paka mwenye uhalisia anayejulikana kama Tom kupitia njia mbalimbali
Tembea na Angela ndani ya mchezo huu wa wanyama wazuri wa nyumbani
Leseni ya programu: Bila malipo (GPL)
Mchezo unaofurahisha wa magari ambao unakupa wasaa wa kuingia kwenye ulimwengu wa kufikirika na kuiba magari
Hii RPG inakupa pointi za uzoefu kwa kuzitoa kutoka kwenye pointi zenye faida
Mchezo wa video za mashindano ya pikipiki inayoendana na mashindano ya Grand Prix ya 2002
Ufafanuzi wa jumuiya ya Mortal Kombat kwenye mchezo wa mapambano wa MUGEN ikijumuisha wahusika wote
Mchezo wa kisasa na unaofurahisha sana ambao ni toleo la kuchezwa kwa kutumia kompyuta ukihusisha wachezaji wanne
Programu inayowarahisishia wachezaji kusimika matoleo mbalimbali ya mchezo maarufu wa uchimbaji madini
Kihariri cha bure kwa kuunda ngozi mpya kwa wahusika kinachotumika ndani ya mchezo maarufu wa video wa sandbox
Ni kitunza data, yaani seva inayowawezesha watumiaji kuvifikia vpengele mbalimbali vya mchezo wa video na kushindana au kushirikiana uchezaji na marafiki
Kifaa cha kusakinisha mabadiliko na kutengeneza seva kwenye mchezo unaojulikana kama minecraft
Toleo la bure la Window OS lenye mchezo wa chinese mahjong tile ulitengenezwa kwa ajili ya mchezaji mmoja
Peleka mapigano kwa vikosi vya maadui katika mchezo huu uliojaa silaha
Kabili vitisho vipya na vya zamani kama mpelelezi wa NYPD Max Payne ndani ya mchezo huu wa mlengaji wa tatu
Kiigizi kinachoruhusu watumiaji fursa ya kucheza michezo ya kale kutoka miaka ya 70 hadi 80 kwenye eneo la kazi kwenye Kompyuta
Cheza na legos pepe kwa programu hii inayokuruhusu kuchagua kutoka mamia ya legos kujenga majengo
Mazingira ya kufurahisha yaliyopangiliwa kwa watoto ambao wanahitaji kujifunza upangiliaji na ni rahisi kutumia kihariri
6