Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Leseni ya programu: Toleo la jaribio
Chagua ndege umpendae kupitia mchezo huu uli upate fursa ya kuuzunguka mfumo wa jua na sayari zake au kuzunguka anga za mbali
Mchezo wa video unaokuwezesha kuchagua Ndege wa Hasira ambae ni wa msimu atakayekupeleka kwenye ulimwengu wa maajabu
Chagua ndege umpendae na uende kwenye safari ya ugunduzi katika jiji la Rio
Hapa utamiliki kundi la ndege wa rangi mbalimbali utakaowaongoza kupambana na nguruwe wa kijani wenye hasira walioiba mayai ya ndege wako
Leseni ya programu: Bila malipo
Andy OS ni mfumo wa kiuendeshi unaokuwezesha kuendesha mfumo wa kimazingira wa Android katika kompyuta yako
Ni programu inayokusaidia kuendesha mifumo ya android kwenye kompyuta za x96, ni nzuri kwakujaribia programu za android
Inasimamia mafaili kutoka simu ya android kwa utumiaji rafiki kwenye Window kompyuta
Ni kifaa cha android kwaajili ya komputa kinachokuwezesha kuhamisha mafaili na programu kati ya komputa yako na vifaa vingine vya simu
Ni programu yenye nyenzo muhimu kukuwezesha kuunda aplikesheni za simu, yaani apps kwa ajili ya simu za Android
Leseni ya programu: Jaribu bila Malipo
mfumo wa kusimamia mafaili uliotengenezwa kwaajili ya simu za kisasa za android na kompyuta ndogo za mkononi
Programu ya kutafuta mafaili yaliyofutwa kwa bahati mbaya kutoka kwenye smartphone
Nyenzo inayowezesha kupangilia muda katika uzimaji wa kompyuta na kukupatia mipangilio ya muda tofauti tofauti ya kukidhi mahitaji yako
Leseni ya programu: Onyesho
Mchezo wa video wa kutisha wenye mapambano katika kujiokoa na visa mbalimbali
Leseni ya programu: Toleo Kamili
Mchezo ulioundwa vizuri unaomwezesha mchezaji kujenga ndani ya dimbwi la hofu
Programu inayoruhusu watumiaji kupata kwa mbali na kusambaza kutoka kwenye deskitopu pc zao
Taswira za kustaabisha,mziki na nafasi ya kusafiri kwenye Route 66 inafanya huu mchezo kuwa wa kufurahisha
Rekodi video kwa kutumia kamera mtandao ya kwenye kompyuta yako na kisha hifadhi kwenye kompyuta
Hii programu ni rahisi kwa ajili ya pc yako kwa kurekodi na kunasa skrini
kizandiki cha fizikia kinachokuruhusu kuruka kati ya vikwazo kama chura,chenye kufurahisha ndani ya wachezji wengi
Programu inayokuwezesha kuweka pamoja program zingine unazotumia mara kwa mara kwenye kompyuta yako
76