Download.it
Programu
Sinema & Vipindi
Sinema & Vipindi
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Leseni ya programu: Toleo Kamili
Cheza kama mhalifu mdogo aliye na matumaini ya kunusurika kwenye huu mchezo wa ulimwengu wa ajabu
Cheza kama Aiden Pearce,mhalifu wa kutumia kompyuta katika zoezi la ulipaji kisasi,ndani ya ulimwengu huu
Leseni ya programu: Bila malipo
Transformice ni mchezo wa bure wa mtandaoni wenye mbinu,unaoshirikisha panya wazuri na mbinu za kushangaza zenye elementi za kina
Leseni ya programu: Toleo la jaribio
Chagua ile uipendayo ambayo ni kumbukizi ya matoleo yaliyopita ya mchezo
Chagua Mwigizaji mmoja kisha angalia ni namna gani unaweza kunusurika na janga la maradhi lililoingia mjini pamoja na mazombi
Mchezo wa kutisha uliokatika mfumo mbalimbali wa kuliwaza
Mchezo wa video unaoweza kuucheza kwenye vifaa mbalimbali na kufanya uvumbuzi, ujenzi, uchimbaji madini, na kupambana na viumbe mbalimbali vya ajabu
Ni mchezo maarufu wa mbio katika kompyuta zenye windo ya kumi
Vumbua na nusurika na kina kirefu cha bahari katika sayari ya viumbe wa kigeni baada ya meli yako ya angani kuanguka
Mchezo unaokupa uzoefu wa nini hutokea pale meli inapokumbwa dhoruba na kujikuta mmetupwa kwenye visiwa pweke na visivyo na chochote
Cheo cha saba katika mchezo wa video wa vitendo vya wizi kwa ubisoft
Geuza michezo ya dunia yenye ushindani wa Sonic the Hedgehog kwa kiwango cha kipeke na taswira za kutetemesha
Mchezo wenye vitendo vya hali ya juu ambao unaonesha wahusika wengi wa Sonic wanaopendwa
Ni mchezo wa bure na salama kwa watumiaji wa vifaa vya Mfumo Endeshi wa Windows 10
Pata mchezo huu amabao ulitolewa kwa mara ya kwanza miaka ya 90 mwishoni kwa Dreamcast
Leseni ya programu: Bila malipo (GPL)
Mchezo wa video ambao ni mkongwe unaotumia akili sana kukamilisha ili kukamilisha safari za Mario na unachezwa kwa kutumia kompyuta
Huu mcheo uliopangwa kwenye hadhi ya likizo, unamruhusu mchezaji kumdhibiti Mtakatifu Nick hili kuinusuru noeli
Ni mchezo wa video unaofurahisha sana uchezwao mtandaoni ukiwa muafaka zaidi kwa watoto na vijana wa makamo
Mchezo wa video za mapigano ambapo Mhusika anaingia Siberia kutafuta mji maarufu wa Kitezh huku akipambana na maadui ili kufikia azma yake
Kuokoka dhidi ya wahusika waovu katika mchezo huu uliojaa silaha,miruko ya kutisha na sauti za ajabu ajabu
1