Download.it
Programu
Michezo
Android
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Suomi
Dansk
Norsk bokmål
Română
中文
Tiếng Việt
Leseni ya programu: Toleo la jaribio
Mrushaji wa risasi wa kwanza wa kisasa anaefuata kundi la wanajeshi wa kimarekani kipindi cha vita ya somali ya wao kwa wao
Leseni ya programu: Toleo Kamili
Mchezo wa video ukihusisha mambo ya kutisha na hatarishi kwa usalama wako ambapo mchezaji anatakiwa kupambana ili kujiokoa
Mchezo wa watu wengi wenye mandhari ya kutisha ambapo mmoja hucheza kama kama mchinjani na wengine wanne kama wanusurikaji
Michezo ya video za bunduki na kukimbia kutoka studio MDHR iliyohamasishwa na katuni za miaka ya 1930
Mchezo wa kwanza wa kurushiana risasiukiwa na sauti na graphiki za ajabu
Mchezo wa vita vya magari wenye mandhari ya baada ya apokalipsi, ukiruhusu wachezaji kuunda na kuboresha magari ya kivita
Leseni ya programu: Bila malipo
Ni mchezo wa video unaochezwa mtandaoni unaokuwezesha kuwashambulia maadui kwa kutumia timu ya askari wako kutoka kikosi maalumu
Mchezo wa vita unaokuchochea kutumia ubunifu wako kujenga na kuharibu kwa mikakati ya hali ya juu
Toleo liliboreshwa la mchezo maarufu wa mtandaoni wa ufyatuaji wenye uwezo wa kujumuisha wachezaji wengi na mchezo wenye hamasa
Mchezo wa video za mapigano ambapo mchezaji hutumia silaha za kivita kukabiliana na watekaji, wauaji, na mazombi wanaoshambulia watu
Programu ya kufurahisha inayokufikisha hadi ulimwengu wa kubuni unaokaliwa na mazombi
Mchezo wa kufyatua risasi wenye changamoto za haraka na ramani tofauti za kimkakati
Mchezo wa video ambapo kikosi cha kuzuia ugaidi kinapambana na magaidi huku kila kundi likikusudia kummaliza adui yake
Toleo la mwaka 2004 la mchezo wa video wa video za mapigano ambapo mchezaji hutumia silaha za moto kufanikisha misheni
Linda nchi yako dhidi ya uvamizi na kwa kutumia mbinu ondoa maadui wenye silaha
Kupambana na adui kwa mbinu za siri katika vita vya kutisha vya vikosi maalum
Ongoza jeshi la askari imara kuelekea Berlin katika mchezo huu wa vita vya II vya kimkakati
Mchezo wa video za mapigano kwa kutumia silaha za moto ambao pia ni wa bure huku ukihusisha wachezaji zaidi ya mmoja
Ruka kutoka kwenye usukani wa spidi kumi na nane kwenda mwingine huku ukikwepa miamba katika huu mchezo
Jiongezee uhalisia wa kuku kadri unavyopambana na wavamizi manyoya kutoka anga za mbali katika mchezo huu
12