Download.it
Programu
Michezo
Android
English
Italiano
Español
Français
Deutsch
Português
Nederlands
हिन्दी
Bahasa Indonesia
العربية
ไทย
Türkçe
Polski
한국어
日本語
فارسی
Русский
Melayu
Tagalog
Svenska
Slovenščina
Suomi
Dansk
Norsk bokmål
Română
中文
Tiếng Việt
Leseni ya programu: Toleo Kamili
Mchezo wa video za mapigano unaomhusisha mlenga shabaha mmoja mwenye dhana kadhaa za kivita
Mchezo wa mapambano ya silaha kali za kivita unaokupa fursa ya kuucheza huku ukiufurahia pamoja na ndugu na marafiki zako
Leseni ya programu: Bila malipo
Mchezo bure wa vita kwa kompyuta uliowekwa kipindi cha vita kali ya pili ya dunia
Vita 1 inavutia kwa mtumiaji wa kwanza katika mchezo wa shabaha,iliyotengenezwa kwenye kipindi cha vita ya kwanza ya dunia
Mchezo wa video unaokuruhusu ucheze kama shujaa wake hatari
Mchezo unaokuwezesha kucheza kama mwokozi wakati wa usiku kupitia toleo hili la mwaka 2015
Leseni ya programu: Toleo la jaribio
Huu ni mchezo wa video kwa mchezaji mmoja mwenye ujasiri na uwezo wa ajabu unaozidi uwezo wa mtu wa kawaida
Mchezo wa video mbadala wa Ndege Mwenye Hasira ambapo mchezaji hivi sasa anaweza kucheza kama nguruwe
Leseni ya programu: Onyesho
Mchezo wa video ulioundwa na wapenzi wa mchezo wa tv wenye jina sawa na hilo
Michezo wa vikdeo unaohusu mapigano ambao pia unafahamika sana kwa picha zake nzuri
Vaa koti lako na uambaze katika mapinduzi ya Ufaransa ukiwa na wauwaji wengine
Mchezo wa video wenye kufurahisha sana ambao unahusisha matukio ya kihistoria huku wahusika wake wakiwa ni wauaji
Mchezo unaokupatia nafasi ya kugundua Ugiriki ya Kale huku ukijihusisha na matukio ya kusisimua
Huu mchezo wa video uliondelezwa na Ubisoft unaokuweka katikati ya mapigano ya kizamani
Mchezo wa kusisimua unaokufikisha kwenye safari za kihistoria za siri na fitina
Simulizi ya kijeshi ya hali ya juu na uhalisia wa kuvutia
Nakala ya bure ya mwendelezo wa maonyesho ya kijeshi ulimwenguni
Mchezo wa kusisimua wa vita wa royale unaoweka timu kwenye uwanja wa mapambano wenye kasi
Mchezo wa chemsha bongo unaohusisha Ndege Mwenye Hasira pamoja na nguruwe wanaoendesha harakati zao kwenye ulimwengu wa mbali na kwenye miinuko
Mchezo wa video unaokuwezesha kuchagua Ndege wa Hasira ambae ni wa msimu atakayekupeleka kwenye ulimwengu wa maajabu
14